المدة الزمنية 10:37

MWIJAKU:MZEE YUSUPH AKIIMBA TAARABU NITAMPIGA/QCHILA AMEKOSEA SANA KUMSEMA MWANA FA/YEYE KALA MADAWA

بواسطة Wasafi Media
142 894 مشاهدة
0
1.6 K
تم نشره في 2020/03/24
عرض المزيد

تعليقات - 558
  • @
    @boazsebastian3584 years ago huyo kafulia lkn akumbuke utajiri wa kweli ni kuwa na mungu .Yusuf amejichanganya 36
  • @
    @zainathcuwimigishazchelsea21134 years ago MashaAllah mwijaku M Mungu akupe mwisho mwema 11
  • @
    @salamihorance5284 years ago Mwijaku Baraka Za Allah ziwe kwwko. Umemnaswihii na wengine wamepata faida 8
  • @
    @maryammkassim6354 years ago Mwijaku hoyeee asante sana kwa maneno yako ya busara tena yenye hisia ya kweli hongera sana mara nyengine unaongea ukweli 1
  • @
    @rogermazombo97444 years ago Congratulations Mwijaku Leo ume ongeya kitu ya maana uyo Q-chilla a jielewi 12
  • @
    @samanthaali8734 years ago Mwijaku yani umeongea point kubwa sana duh salute😃😃tutamtia vibao mzee Yusuf 7
  • @
    @zainabumtubwi2634 years ago mashallah mwaijaku umelipwa kwa ajili ya allha. 15
  • @
    @tajibetese55674 years ago daaah mwijaku kumbe unaaakili hivo sikujuaga daaaah 43
  • @
    @momoyusufu34244 years ago Leo mwijaku umeoongea pointi kuhusu mada ya mzee kurudi kwenye kuimba.InshAllah mungu atakuongoza utoke huko uliko. 34
  • @
    @mohammedrajabumwamba13224 years ago Swadakta yaa akhhii mwijaku Allah akuzidishie kilalakheri 3
  • @
    @aliarkam95484 years ago Alhamdullah , ujumbe ushamfika.kama Akili yako ataifa bas amefika pazur .Hata mm nimekukubal Mwijaku Allah akijalia nawewe uweze kumshinda ibilis
  • @
    @rasykizanjbari49964 years ago Pole mwinjaku kwa kuumia mungu atakuvua na wewe waislamu wote mungu atuvue na ushetani dunia isituhadae kabisa
  • @
    @zaitunisinamenye17994 years ago Akirudi kwenye mziki wa duniya, Allah amuadhibu, kwa sababu Allah amemuokowa alafu anamcezeya 7
  • @
    @eneolatukio84934 years ago Ungejipiga mwenyewe kwanza kwa ulichomfanyia Meninah na mkeo mxiuuu!! Ila kafanana na N jr duuh! 12
  • @
    @yahayabaruti10034 years ago Mashaallaa kaka mwenjaku umeongea jambo zuri kweri kaka mwenyezi mungu akusimamie juu yahiro 1
  • @
    @abdulwalidali45674 years ago Mie katika kuunga mkono basi Mwijaku mie %100 nakusaport kwa hili Mzee Yusuf kurudi kimba nitakusaidia kumtwanga makofi 6
  • @
    @hamisihamisi5484 years ago Yaani ktk cku ambazo umeongea point brother, leo alhamdulillah umeongea, kumbe ilmu unayo ila ni njaa 2 inatufanyaga jmn 😩😩 43
  • @
    @rachelevarist704 years ago Safi sana mwijaku kumbe dini unaijua mungu akuondoe uko ufe shahidi
  • @
    @timembarouk51104 years ago Mashallah mwijaku Allah akutilie taufiq kwa hayo ulioongea,na Allah akufanyie wepesi ktk kuyaacha maasi na kumuelekea yeye...Akujaalie utoke ktk kiza na uwe mwanga wenye nuru
  • @
    @jadoniyubahwe51084 years ago Yna nimekua simpendi mwijako ila kwahili aise nakupenda na Allah akuongoze 23
  • @
    @AhmedSaleh-rc1yj4 years ago Sijawah kucoment ila MWIJAKU umeomgea POINT 21
  • @
    @jamlaashiri3724 years ago Subahanallah mzee yusuph usirejee kwenye taarabu unarudi kwenye mimbari ya mjukuu wa sheytwani 1
  • @
    @lkshmykomar54724 years ago Mwjaku nlikuwa ckupend kwakufatliya mambo yawatu yasyo kuhusu ilaleyo umeongeya maneno kumtu ishalla mungu atuongoze zote ishalla
  • @
    @ains11224 years ago Mungu akuongoze mwijaku, Leo umeongea nakubali points zako 1
  • @
    @bibiemohamed60444 years ago Allah akujaalie maneno yako yatoke moyoni na uwe na nia kweli na uongoke kwania yko 2
  • @
    @gullyaziz66724 years ago Huwa sichangii mada ila leo mdogo wangu nakupa big up sanaaa umeongea point .Allah akujalie kila lililo na heri na ww
  • @
    @mohamedkiyungi48674 years ago ALLAH akuongoze Mwijaku mwisho wako utakua mwema insha-ALLAH na huyu shekhe wetu aangalie mwisho wa mwenzake ISSA MATONA amekufa vibaya sana pale diamond jubilee holy mauti yamemkuta katika ya maasia amekufa mlevi chakali Subhan-ALLAH ataenda kumwambia nini ALLAH suku ya hesabu na yeye alikua kama alipumzika kabisa upumbavu ule kisha akaludi kwanguvu na maisha yake yakakatikia pabaya kabisa MZEE YUSUPH mimi nakufahamu achana na hizi tamaaa za Dunia angalia akhera hii duninia ni mtihani tu wa muda mfupi akhera kuna maisha ya milele ... 3
  • @
    @thureiyaally52324 years ago Yani me namuunga mkono mwijaku tutampiga adi ajute 😁 59
  • @
    @harunamujahidi44574 years ago Safi sana mwijaku Allah akuongoze in sha Allah 2
  • @
    @mariamothman74044 years ago Kabis mwijaku maneno Mungu kakubariki sana kaka mwijaku nakupenda bure
  • @
    @ains11224 years ago Maneno mazuri Sanaa mwijaku, umeongea kama watu 100 1
  • @
    @khadijaqatar90804 years ago Kabisaa wapili mm sita support huo mzik kabis 1
  • @
    @isunga19644 years ago Aje tu kila mtu na atabeba mzingo wake mzee Yusuph njoo baba 😊😊😊mnavyoo jifanya kuijua dini hapa Tz mungu ndoo mhukum mwencheni mzee wa watu 8
  • @
    @hajishehe61974 years ago Yani kumbe jamaa linamaneno mazur muda mwengine 11
  • @
    @MohamedHassan-hr6cb4 years ago Kiukwel kwa mara ya kwanza leo na ww umenikosha Mashaallah kwa msg nzuri kwa mzee Yusuph
  • @
    @faizunmohd98394 years ago Masha Allah umeongea maneno ya nasaha shukran Sana bro Allah atupe mwisho mwema
  • @
    @nagibsalim91204 years ago Usijali jikaze na jaribu kuamka usiku kuswali na kuomba kwa Allah 3
  • @
    @kwizerazenab8144 years ago Innalillah wa inailahi rajun, uyo mze yussuf, ALLAH AMSAME 4
  • @
    @luqmanmohamedy38604 years ago Mwijaku bhana ana mke mzuri hampiti wangu
  • @
    @saeedaltae21694 years ago awesome today u speak points than other days 12
  • @
    @Ukhtyzuhura4 years ago Allah akulipe kheri Kaka Mwijaku hakika mmoja ni mchunga na ataulizwa
  • @
    @aljalilatiba98734 years ago INSHAALLAH MUNGU AMJAALIYE ASIRUDI TENA KWENYE MZIKI 13
  • @
    @salwasuleiman89434 years ago Allah akuongoze njaa iskuponze mwijaku Allah atakupa hidaa
  • @
    @kimmenelus78354 years ago Ni heri Mzee yusuf katest mitambo tuu aone network ipo au ilikata kuliko wengine povu Jingi uku matangazo ya Serengeti Bia inakatiza🚶‍♂️ 21
  • @
    @rashidhusain29584 years ago Interview ya maana lakini sound track ya nn 7
  • @
    @najmamakame98814 years ago Allah akujalie mwijaku utoke katka maasi nataman mtoke nyote katka dimbwi la maasi
  • @
    @frankassey59714 years ago kwan watangazaj wabongo hamuwez ongea kiswahili full viingereza vingi afu mashabiki wengi wenu ni wa uswahilin hawajui hata izo sentesi za kiingereza 4
  • @
    @muniraahmed6244 years ago Sijui Leo amekula nn mpaka kaongea fact namna hii😂 38
  • @
    @hassanjuamchipua93844 years ago Kwa kweli siku zote mwijaku namdharau lkn kwa hili nam support
  • @
    @princenyakurungwi69254 years ago Naona mwijaku kasarenda maana sahivi kila siku yupo ,wasafi ndo habari ya mjini
  • @
    @namirihamisi38994 years ago ww mwijaku unasma kitu cha maana na kizuri ila kama unataka kumsaidia binaadam mwenzako mfuwate na muulize sababu inayomrudisha kwenye tarabu na mujiwekee mikaati kwenye saana zetu mtu akistaafu mumpe mtaji. 2
  • @
    @mataamiry67204 years ago Uyo ni mshenzi tu ukishatubu hurusiwi kurudia 8
  • @
    @shabanimdagano34144 years ago Acha unafiki wewe Mwijaku wewe siyo wa kuhukumu. Hiyo kazi mwachie Allah...
  • @
    @fatmanassoro94444 years ago Mungu amuongoze aendelee kumtumikia yy pekee Allah subhannahu wataala
  • @
    @sakinaally65724 years ago Alhamdulilah umeongea ukweli mwijaku hongeara sana
  • @
    @saidmrisho93394 years ago Mkiwa na mahojiono yanamtaja Mungu hayo matangazo ya vileo msiweke
  • @
    @stewartamaniel67464 years ago Mwijaku ni kuma tu kazi kumuuza hamissa mobetto kwa wanaume na menina
  • @
    @kakamau03844 years ago Eti kuimba Qaswida ndio nini sasa au ndio nyimbo za kibinaadamu?? 10
  • @
    @mgeniomary85844 years ago Haaahaaahaaa anamke nzuri amzidi mkewangu
  • @
    @naimajuma99254 years ago Kweli kabisa kaka tangu tunaomba mungu tukinai yeye kakinai tena anataka kurudi kwy sheytan
  • @
    @mwasakafyukasamson4 years ago Kwani Mbinguni tunaenda wawili .
    Mwacheni aishi maisha yake.
  • @
    @abubakarikizamba81064 years ago et ''mbona yeye alikiuwa anakula madawa,ila hakujisema' hahaaa Mwijaku bhana
  • @
    @mtwaharutwahily87724 years ago Mwijaku leo umeongea point juu ya mzee Yusuphu 1
  • @
    @karemhkaremh44514 years ago Hongera brother mwinjaku kwa nasaha zako Allah kareem
  • @
    @husseinchiaseeds26534 years ago Allah ajaaliye akirud ktk taarabu masaibu yamkute Tena mazito 1
  • @
    @thureyaseif71434 years ago Sio Kazi yako hiyo kumhukumu mwanaadamu mwenzio, ni Kazi ya mungu wewe Fanya amali yako, kwanza jiweke sawa, alafu umuweke mwenzio sawa. 1
  • @
    @abdallahramadhani35714 years ago Broo serious Leo umeongea point sana big Up
  • @
    @abdallahmik73044 years ago Mwijaku toka nienze kukujuwa Leo .ndo umeongea maneno ya mana
  • @
    @whatif..69614 years ago 8;24, ana mke mzury mashaallah, lakini hamzidi mke wangu😂😂😂😂😂 9
  • @
    @zeddybass66724 years ago Mzee yusuphu amefikia hatua anaomba hadi jero wakati fani anayo afanyaje Kama mnapenda mpeni mradi ya ukweli aendelea kuwa kwa Mungu kuliko mnajifanya mnampenda awe kwenye dini na wakat ana njaa.
  • @
    @ibrahimchatila49454 years ago Hivi huyu Mwijaku ana umaarufu gani jamaniiii.. Yaan sielewi
  • @
    @shaabanramadhan67704 years ago Hpo kwa mzee yufus mwijaku umeongea point 1
  • @
    @davidcurtis85564 years ago Huo ni unafiki, wewe unaendesha maisha kwa kusengenya watu kukashifu watu kutukana watu ila unatumia kivuli cha Dini na maneno ya hekima wakati mwenzio maisha yamempiga, ila kwa mwana af nakuunga mkono, Qnyoko ndio alitafuta kiki zi unaona sasa anazungumziwa!! Alitafita tension ya watu, Qnyoko ngada bado ipo kichwani inamuendesha mpuuzeni sio yeye ni unga bado unafanya kazi, kanunuliwa mtoto wa gari anaona amemaliza. ...
  • @
    @kaukaroofing8564 years ago we fala unazingua kikweli sasa unahisi kuwa mwana FA kafanya cha maana kutafuta kikikwa usengerema wa hili gonjwa kubwa linalo huwa mamilion ya watu kwahiyo anachekelea siyo
    BIG UP CHILLA
  • @
    @hemedjuma57234 years ago Mwijaku yusufu mjini kaja na nauli yake usihingilie maisha ya mtu
  • @
    @arqamibnarqam.71854 years ago Mwijaku unamke mzuri ila humzidi mke wangu. 1
  • @
    @shebbywanammurun96124 years ago Hajasema anarudi katika muziki bwana.
    ameweka suprise tu.
  • @
    @mokejohn654 years ago Kaka mwijaku haujajua mzee yusufu aliwai sema kwamba ataimwimbia mungu wake mnavozani hawezi kuimba taarabu hamuelewa vizuri hajataka kufunguka atawasapraizia
  • @
    @zaynabali61094 years ago Mwambie mzee yusuf apiganie dini kabisaa. 34
  • @
    @habibasallah81394 years ago Uyu mwijaku uyu sa1 una semaga mazima kumbe una jijuwa kuko na jana Leo uma kubali
  • @
    @ufugajiwetu77824 years ago Kama utani lakini you are speaking truth mwijaku
  • @
    @hadija8464 years ago we vipi maisha magumu wezi wamemuibia ujamsaidia leo maneno mengi kila mtu na maisha yake
  • @
    @yassinnjige74844 years ago INSHALLAH ALLAH ndiye msimamidhi wa kila Jambo muombe ata kusikia