@sarafinamakilkka5678منذ 4 سنواتLa muhimu kufunga mipaka, wageni wenyewe au wenyeji toka nje wanaweza tumia ujanja wasije humo karantini. Mungu simama ktk hli. Tuiombee sana nchi yetu wapendwa 1
@
@muhzajphandrea7177منذ 4 سنواتDeo muhoza toka Karagwe Tumuachie Mungu
@
@joycedaudi1769منذ 4 سنواتSerikali inatamani kweli ifunge mipaka lkn mtaishii vp kinacho takiwa n umakin kila anae ingia ashukie kantini 1
@
@imasimas4506منذ 4 سنواتMungu ata tuvusha Inshaallah. From Oman tunawapenda
@
@evancetarimo1310منذ 4 سنواتTumuombe mungu atuepushe na janga hili la korona jaman
@
@maryamjuma4893منذ 4 سنواتww faruku karim kutoka kisiwani zanzibar ndio nini ? au hujasoma hujui ulifanyaloo?
@
@tryphinasylvester8538منذ 4 سنواتTrypina magezi Wa Tabora; Tuaishukuru sana serijali ya Tanzania kwa jitihada dhidi ya virusi huvi vya Corina.Mungu ibariki Tanzania,Mungu wabariki viingozi Wa nchi yetu.
@
@nuhumtali8782منذ 4 سنواتChamsingi muwataje majina Kama wapo mitaani muweze kupata taarifa
@
@mwanaseiph2853منذ 4 سنواتwageni kutoka nnje wasiruhusiwe huu ugonjwa janga 1
@kemarsimba6458منذ 4 سنواتwako wengi wanamiliki vitambulisho vya taifa lakini sio raia. Kwamfano mtangazaji waledio moja (dijalo warungu) uyu ni mkenya lakini anamiliki kitambulisho cha taifa.
@
@gilbertvicent4229منذ 4 سنواتTUNAMPENDA UMNY MWALIMU ILA MIPAKA INGEFUNGWA ILI TUWE HURU NA TUFANYE KAZ KWA UHURU 1
@
@biashaallyally3701منذ 4 سنواتKwanini hamfungi mipaka jamani mbona nchi za wenzetu wamefunga mipaka jamani tunaomba sana
@
@gespardanil2009منذ 4 سنواتHivi huyu Makonda unakamata watu mbona wewe ndo unaongoza kukusanya watu, au umekosa la kuongea???
@
@godlistensingo6460منذ 4 سنواتMipaka ifungwe jamani. Tucfanye maigizo na huu ugonjwa. Ee Mungu tunusuru na hili janga. 1
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Mmalawi akutwa na kitambulisho cha taifa cha Tanzania.: