المدة الزمنية 8:43

Kuna siku Diamond ataenda SHAMBANI kulima, mafunzo MUHIMU kwanini ataendelea kuuchuma UTAJIRI

بواسطة Simulizi Na Sauti
31 162 مشاهدة
0
1 K
تم نشره في 2020/05/10

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 208
  • @
    @mariabahati1264منذ 4 سنوات Wow Wasafi tower that gonna be amazing bless you more and more 5
  • @
    @mrishorashid4161منذ 4 سنوات Kama umeielewa hii makala asilimia mia moja. Gonga likes zakutosha twende sawa 121
  • @
    @ritchiexanti9587منذ 4 سنوات makala moja amazing.haya nipeni likes na mi nione raha 57
  • @
    @elimumwaipaja74منذ 4 سنوات I wish i could be you Skywalker.. Get blessed..
    : one has a doubt about Diamond platnumz ni kama Nyoka wa Shaba.
    17
  • @
    @akibarahamadi5058منذ 4 سنوات namkubali sana diamond platnumz napenda kumuona anazid kufika mbali 44
  • @
    @emilymula645منذ 4 سنوات A very successful musician/ business man.
    Only one thing has remained elusive.
    6
  • @
    @officialmpbaraka2999منذ 4 سنوات Sky umetisha
    Umeeleweka
    Mungu atusimamie ktk utekelezaji wa mambo yetu binafsi
    23
  • @
    @waitemacassarlatifolatifo4744منذ 3 سنوات Vc merece um prêmio irmão( una style ya tunzu) 5
  • @
    @zennakailo8106منذ 4 سنوات Maltin mbona unajua kutunga ivyo MashaAllah (inatakiwa tuifate leo yetu na wala syo kesho yetu shukran sana (CEO) 16
  • @
    @hajikishuwa1078منذ 4 سنوات Fact sns, like 5 kwa mwanachama wa sns 13
  • @
    @BoraKulikoمنذ 4 سنوات Dah kaka wewe ni mwalimu bora sana. acha nitoke hapa nikakomae na leo yangu 10
  • @
    @saidabdulkadirmjahid8255منذ 3 سنوات Marketing and innovation ; makala Bora Sana sns movie ya Diamond na biography book ije this guy is my all time inspiration 3
  • @
    @Babangida_Hdمنذ 4 سنوات The man is too intelligent and focusing 15
  • @
    @BigZhumbeمنذ 4 سنوات Alafu bidhaa yake Hermonize eti haimtambui Diamond. haya maisha haya 12
  • @
    @sir-dmwaye1891منذ 4 سنوات Dah brother ww unajua umenfanya nifikirie mbal zaid na kujiona kma nabweteka niamke na nipiganie maisha yangu 3
  • @
    @Makavelithedon2086منذ 4 سنوات Wachache sana wataelewa hili, tengeneza leo ili kesho yako iwe nzuri✊ 12
  • @
    @yusuphjafarijr7583منذ 4 سنوات Nili tamani hii stor iwe na zaid ya lisaa na kidogo maana Ni chakula kitamu Sana hik 13
  • @
    @fadhilisanga2392منذ 4 سنوات Sky safi sana bro umejaliwa sauti na akili kubwa sana 12
  • @
    @selemanimsahani3919منذ 4 سنوات Amakweli kwamm nikiskia tu jina diamond moyo hua unashtuka xana 8
  • @
    @gramsraymond595منذ 4 سنوات Hata like moja tu inatosha wadau kw hii makala 4
  • @
    @thelonewolf4429منذ 4 سنوات Hii ndio motivational speech sasa yaukweli 8
  • @
    @israelmsemwa7867منذ 4 سنوات Great platnumz out of music u are a great man making money 5
  • @
    @yusuphjafarijr7583منذ 4 سنوات Brother sky today, umenifanya nitoke machozi kwa jinsi navyo iwaza kesho yangu maana leo yangu imejaa vikwazo,Vita na kukatishwa tamaa zaidi. Asante Kaka sky 28
  • @
    @malikasdiary3527منذ 4 سنوات Well worded! Safi sana Msimulizi, safi sana muandishi na safi sana Diamond 1
  • @
    @maembamwita5874منذ 4 سنوات Bro sky ww ni moto wa kuotea mbali anaekupinga ni mchawi 8
  • @
    @twalebleboss9687منذ 4 سنوات DIAMOND PLATNUMZ.KEEP ON FLYING . 1
  • @
    @BigZhumbeمنذ 4 سنوات Jana na Leo ni Muhimu sana katika maisha ya wapambanaji 2
  • @
    @lilianjeremia1024منذ 4 سنوات Dah mpk machoziyaan leo yangu ni ngumu ya kesho nawaza itakuwaje
    Kiukweli nimejifunza kitu asante kwa makala htri ya leo
    3
  • @
    @mussanassoro790منذ 4 سنوات Thank you brother u are really Geneous and good Mentor
  • @
    @ltlmedia8480منذ 4 سنوات Kiukweli una ni inspire san brother sky na nitafika ulipo. Pia nimefrai kwa makala hii. 7
  • @
    @selemaniamiri5916منذ 4 سنوات Umenikumbusha Leo sisubiri tena kesho thanks a lot!!! 8
  • @
    @salgadomohamed4669منذ 4 سنوات Well done bro.simulizi nzuri na yenye mafunzo. Myself imeni inspire niamke na kufanya leo yangu ya mafanikio. Ahsante Bo ubarikiwe sana
  • @
    @machauchris5317منذ 4 سنوات Facts kiukwelii kakaa, jamaa anaamini wakati alionao kwani anajua uzeeni aishi vzuriii 1
  • @
    @babylonyNgwembeمنذ 4 سنوات Tatizo letu vjana weng ndoto znakufa kwaajl ya mahusiano mana wake wa sasa hv weng pasuwa kichwa na hawana vision ulyonayo ww. 12
  • @
    @richardjilles4071منذ 4 سنوات Duh nlikua nataman hii simulizi isiishe 2
  • @
    @mwasitiyasini2181منذ 4 سنوات Hii stori nimeipenda sana na nimejifnza kitu kwenye hilo 1
  • @
    @themicbandforeveryone19997منذ 2 سنوات Malala kali sana baba una fanya vyema sana ni peni like zangu 1
  • @
    @ahmedmahamudu4140منذ 2 سنوات Mimi hapa after his speech after watching FOA in cinemax
    Diamond platnumz ni shujaa wa taifa hili
  • @
    @shebbylove3140منذ 4 سنوات Wise advise kwakweli vijana tunatakiwa tuamkee
  • @
    @vincentgeorge178منذ 4 سنوات Nyie watu wakali sana aise nakubari!!
  • @
    @mohamedidd3161منذ 4 سنوات Kubwa sana hii brother @Sky Ahsante kwa chakula kizuri nasubiri futari nishushie kwa tende ,,, Hiki ni miongoni mwa vyakula vya akili, Kongole kwa Mwandishi @MartinKiumi 1