المدة الزمنية 50:2

KRISMASI YA KUZIMU INAVYOSHEREHEKEWA NA SHETANI : USHUHUDA WA ALIYEKUWA KIONGOZI NAMBA 3 WA SHETANI

489 324 مشاهدة
0
1.7 K
تم نشره في 2014/12/16

Mtume na Nabii Hebron akifundisha kwa njia ya ushuhuda kuhusu Christmas ya kuzimu inavyosherehekewa na shetani, maana ya Christmas card, Christmas tree na Christmas card. Hivi vyote ni mchomeko wa shetani na hakuna mahali popote katika Biblia vimeandikwa, lakini leo hii makanisani ndio vimejaa. Tazama video hii uone jinsi kuzimu inavyoshangilia wakati wanadamu wanapoweka hivi vitu makanisani na ulimwenguni pote.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0