المدة الزمنية 6:44

KUHUSU LIVE RECORDING 'PRAISE EMBASSY' TAREHE 01.10.2021

160 مشاهدة
0
8
تم نشره في 2021/09/24

Obeid Mahandule ni mtumishi wa Mungu katika eneo la uimbaji kwa miaka mingi Ijumaa usiku tarehe 01.10.2021 atakuwa anafanya 'LIVE RECORDING' ya ibada aliyoipa jina la 'PRAISE EMBASSY' ikiwa na maana ya 'UBAROZI WA SIFA' kwenye haya mahojiano anazungumzia kwa kirefu kuhusu ibada hiyo karibu umsikie akizungumza.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 10