المدة الزمنية 5:4

VILIO VYAIBUKA UPYA KUMBUKUMBU ya WALIOFARIKI kwa AJALI ya MOTO Moro, ALIYENUSURIKA Asimulia

بواسطة Global TV Online
1 499 مشاهدة
0
6
تم نشره في 2020/08/10

VILIO VYAIBUKA UPYA! KUMBUKUMBU ya WALIOFARIKI kwa AJALI ya MOTO Moro, ALIYENUSURIKA Asimulia... Agosti 10, 2019, ilikuwa ni siku mbaya sana kwa Taifa la Tanzania, kwani watanzania wengi zaidi ya 100 walipoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro iliyosababishwa na lori la mafuta kudondoka na kulipuka katika eneo la stendi ya mkoa ya Msamvu... Leo Agosti 10, 2020, ajali hiyo imetimiza mwaka mmoja, na wakazi wa Morogoro wameitumia siku ya leo kuwaenzi marehemu wote kwa kufika katika makaburi maalum waliyozikwa baadhi ya marehemu, ambapo wengine wameshindwa kujizuia na kumwaga machozi kutokana na uchungu wa kuwapoteza ndugu na jamaa zao... ⚫️Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1