المدة الزمنية 10:26

IFAHAMU THAMANI YAKO

21 613 مشاهدة
0
401
تم نشره في 2020/11/21

ukiifahamu thamani yako moja kwa moja utajua kuna nguvu kubwa sana katika kuytoa msamaha mapema bila kusubiri waliokukosea wakuombe radhi, samehe kwa sababu ni muhimu kwako wewe na sio wao. . Usiache ku SUBSCRIBE na kuacha mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . TUFUATE INSTAGRAM: SPN CHANNEL: https://www.instagram.com/successpath_network EZDEN JUMANNE: https://www.instagram.com/ezdenjumanne . BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU: EMAIL: successpathnetwork@gmail.com WHATSAPP : (+255)759191076 . #Ifahamu #Thamani #Yako

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 45
  • @
    @abdoulkarenzo3138منذ 3 سنوات Nashukuru saaana kakayangu mtu unapo poteza kitu ulikua unapenda kama kazi amo mpenziwako camuhimu niko nikuafuta kazi ingine amo mpenzi mungine kuliko kuwaza benyewe bilsha kutoka 1
  • @
    @shukranjulius5910منذ 3 سنوات Hakika huu ujumbe niwangu kabisa umenitibu Mungu akubariki sana kaka 1
  • @
    @sakaraboy8951منذ 4 سنوات Najifunza hapaaaa.sijawah kukosa kitu Cha kutokanacho 3
  • @
    @augustinoswai68منذ 4 سنوات Asaaante sana barikiwa Sanaa kwa masomo yakoo 1
  • @
    @irakozesefu4185منذ 4 سنوات Heshim sn ndugu yangu Mungu awazidishiye kwa kazi mliyo jitolea kwa kwakuboresha watuu 1
  • @
    @aline_amor87منذ 3 سنوات Mafunzo ya maana kabisa katika maisha na ndunia ya sasa tuna shukuru kwa mafunzo mazuri
  • @
    @mashakalonka9407منذ 4 سنوات Ezden Jumanne,unatisha brother!,mafunzo haya sio ya kawaida!,in short you are the best!. 4
  • @
    @abushakir4452منذ 4 سنوات Ahsante akhiy nimesikiza hii nikiwa na mahasira mengi sana.. 1
  • @
    @hdjirungakashililika7538منذ 4 سنوات Nizahiri kuwa unasitahiki eshima,mungu azidi kukupa nguvu,afya na moyo wakutokuchoka kuwaelimisha vijana wa tanzania na nnje ya mipaka ya Tanzania 1
  • @
    @iddmambo3218منذ 4 سنوات Thanks a lot brother!! may Allah Grant u more wisdom and deeper understanding of many subjects.. in shaAllah 5
  • @
    @anuarmazee8939منذ 3 سنوات Mungu aliwKuxudia kuWaumbA watu kaMa nyinyi munGu awape maixHa mareFu
  • @
    @aline_amor87منذ 3 سنوات Na mshukuru mungu kanijalia nina msamaha ndani yangu Yani mtu aka ni kosea huwa na kasirikaka lakini mda mchache naamua kusamehe na furahi na cheka nae kama kawaida
  • @
    @hatimsalum5587منذ 4 سنوات Kuna wakati huwa nafikiria ezden atakuwa siyo mtu wa kawaida, kuna wakati huwa Nafikiria hv kusoma vitabu ndiyo inambadilisha mtu kuwa hivyo dah!!! Sometimes huwa nafikiri kuwa umezaliwa hivyo kuwa ww kama ezden. 6
  • @
    @allymaganda5061منذ 4 سنوات Haya sio tu ni mawazo mazuur sana bali pia ni madini yenye thamani zaid ya diamond. Well done Ezden 2
  • @
    @shabanzege3050منذ 4 سنوات Allha akupe kila la heri ktk kala atua ya mafanikio yako broo. Naitwa Shaban zege np mkoa singida,shelui 1
  • @
    @ally7741منذ 4 سنوات Salam alaikum, bro ukifundisha kwa hi style, nzuli sana 1
  • @
    @wakuwezaclassic6947منذ 4 سنوات Thanks brother huwa najifunza vingi Allah atupe mwisho mwema 3
  • @
    @haikajohn7580منذ 4 سنوات Nikweli kabisa zidi kutuelimisha ndugu 1
  • @
    @amourmtungo623منذ 4 سنوات Kweli kabisa hasira ni hasara na ni ujinga kabisa sawa na matusi. Kila mtu ana upungufu na udhaifu wake. No body is perfect although everybody is unique 1
  • @
    @emadjuma507منذ 4 سنوات Asante sana kaka ezden nakupenda sana umebadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa sanaa, nna mwez mmoja tokea niijue chanel hii lkn nimeweza kubadilika id="hidden5" class="buttons"> na kuwa tofaut na nlokua mwanzo asante sana
    Mimi ni msichana ambae nna umri mdogo sana ila kutokana na hali ya maisha ilinifanya niondoke niende nje ya nchi yangu na huku nlipo sometime napitia wakat mgumu sana lkn video zako zimeweza kunifumbua macho pale nlipokua sion mungu akubariki sana my brother @success pass network one teach one
    ....وسعت 2
  • @
    @madibacelouse6095منذ 4 سنوات Ni kweli bro kwani hii motivation imenigusa sana kwani awali nilikuaga ivyo na ichi kitu hutesa watu wengi sana asee, ila nashukuru kwani nowadays nimechange id="hidden6" class="buttons"> kwa kiasi kikubwa sana na pia 90% ya maisha ya watu wengi huona kueka chuki moyoni Ndio solution ya matatizo yao kumbe ni mtazamo hasi.
    May God bless you bro Ezden
    ....وسعت
  • @
    @geraldsenkondo4334منذ 4 سنوات Nadhani katika yote uliyofundisha hili umefanya vizuri zaidi
  • @
    @richadolph7320منذ 4 سنوات Umezungumza ukweli bro,wengi tunatafuta watu tunaowaita sahihi au company sahihi Bila ya ss KUJIUIZA JE SISI NI SAHIHI?? 1
  • @
    @emadjuma507منذ 4 سنوات Asante sana kaka ezden nakupenda sana umebadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa sanaa, nna mwez mmoja tokea niijue chanel hii lkn nimeweza kubadilika id="hidden11" class="buttons"> na kuwa tofaut na nlokua mwanzo asante sana
    Mimi ni msichana ambae nna umri mdogo sana ila kutokana na hali ya maisha ilinifanya niondoke niende nje ya nchi yangu na huku nlipo sometime napitia wakat mgumu sana lkn video zako zimeweza kunifumbua macho pale nlipokua sion mungu akubariki sana my brother @success pass network one teach one
    ....وسعت 2
  • @
    @madibacelouse6095منذ 4 سنوات Ni kweli bro kwani hii motivation imenigusa sana kwani awali nilikuaga ivyo na ichi kitu hutesa watu wengi sana asee, ila nashukuru kwani nowadays nimechange id="hidden12" class="buttons"> kwa kiasi kikubwa sana na pia 90% ya maisha ya watu wengi huona kueka chuki moyoni Ndio solution ya matatizo yao kumbe ni mtazamo hasi.
    May God bless you bro Ezden
    ....وسعت