BIoke Mwita Chacha Bailinsenga Nimkazi wa matale serengeti akiwa na umri wa miaka 68
mama huyu wazazi wake walifariki miaka ya nyuma huku mama yake akiwa na uraia wa iraqi jambo ambalolilimfanya mama huyo kukosa ndugu wa upande wa mama kwakuwa aliletwa na baba yake kipindi cha vita miaka hiyooo.
lakini kabla ya kufariki wazazi wao waliwaachia mali nyingi ila kwa sasa familia yao imesambaratika kwakuwa wenginewamepoteza maisha kwa sababu mbalimbali na sasahivi analea wototo 28 .fuatilia story nzima#safari yangu
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 5
مقاطع الفيديو ذات الصلة على TAZAMA BIBI ANAE LEA WATOTO 28 ALIVYO ULAANI UMASIKINI: