المدة الزمنية 7:8

Matukio Makubwa yanayo Nyemelea kifo Cha Diamond Platinumz.

77 مشاهدة
0
3
تم نشره في 2020/07/16

Mwanamuziki wa kizazi kipya Nasseb Abdul almaarufu Kama diamond Platinumz ashutumiwa kuwa kimapenzi na mke wa mfanya biashara kutoka Arusha. mfanya biashara huyo aliitisha press pamoja na waandishi wa habari jijini hapo huku akitoa onyo Kali kwa msanii diamond Platinumz kwa kuacha kabisa kutembea na mke wake. Mfanya biashara huyo alisema kuwa amekuta Mara kadhaa mkewe akichati na msanii huyo na pia meseji zinazo onyesha kuwa watu hao niwapenzi. Usisahau ku SUBSCRIBE Camera Ya Mwandishi ili usiwe unapitwa na habari mbali mbali kutoka pande zote za dunia. Tufuatilie pia kupitia. Instagram, Facebook kwajina moja tu la Camera Ya Mwandishi Tv.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0