المدة الزمنية 2:10

Ifahamu meli ya 'Evergreen' iliyonasa kwenye mfereji wa Suez

بواسطة Mwananchi Digital
10 469 مشاهدة
0
37
تم نشره في 2021/03/29

Itambue Meli ya Evergreen, inayomilikiwa na kuendeshwa na kampuni ya Taiwan ya Evergreen Marine ina urefu wa ukubwa wa viwanja vinne vya soka (400m), ni moja kati ya meli kubwa za mizigo Duniani, inauzani wa tani 200,000 na ina uwezo wa kubeba makonteni 20,000. Fahamu zaidi kuhusu meli hiyo na tukio lake la kukwama na kusababisha msongamano wa meli zingine zinazojaribu kupitia mfereji wa Suez na kusababisha hasara kwa biashara ya Meli katika mfereji huo unaotenganisha nchi zilizopo Magharibi ya Afrika na nchi za bara la Asia.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 12