المدة الزمنية 3:52

CHRISTINA SHUSHO AWAKOSHA WANAWAKE MOROGORO.

363 مشاهدة
0
11
تم نشره في 2021/03/09

Na.Vedasto George Mwimbaji wa nyimbo za injiri nchini Christina Shusho ameugana na mamia ya wanawake mkoani morogoro kuadhimisha siku ya wanawake Dunia iliyofanyika march 8 mwaka 2021 katika hoteli ya kisasa ya Morena. Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kwa mwaka huu yalikuwa na isemayo “WANAWAKE KATIKA UONGOZI NI CHACHU YA KUFIKIA DUNIA YENYE USAWA” Akiwa katika maadhimisho hayo Shusho aliimba nyimbo mbalimbali ikiwemo yimbo inayopedwa zaidi nchini ya Relax.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0