المدة الزمنية 12:3

VIDEO: MABESTE na LISA WAFIKA PABAYA/ MABESTE APELEKWA POLISI/ Afunguka haya kwa UCHUNGU

بواسطة Rick Media
1 250 مشاهدة
0
12
تم نشره في 2020/06/01

Msanii wa muziki wa HipHop @mabeste_tanzania afunguliwa kesi na aliyekuwa mkewe @lisa_fickenscher Kwa mujibu wa kaka wa Mabeste Ndugu Saimon Venus amesema kuwa Lisa amefungua kesi kwenye kituo cha Polisi cha Osterbay Jijini Dar es salaam kwa mashitaka matatu. Moja Matumizi mabaya ya mtandao, Pili kutangaza kuwa aliachana na Lisa akiwa na ujauzito wake na Tatu kuhusu maudhui ya wimbo mpya wa Mabeste #BackOff akidai kuwa umemlenga yeye ........................................................... Contact Us : 0742447854 ------------------------------------------------------------------------------- Instagram https://www.instagram.com/rickmediatz/?hl=en --------------------------------------------------------------------------------- Facebook https://web.facebook.com/rickmediatz --------------------------------------------------------------------------------- Website www.rickmediatz.com ----------------------------------------------------------------------------------- #MABESTE #LISA

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 15