MUONEKANO WA HOTEL YA DIAMOND
Huu ndio muonekano wa Hotel aliyonunua Star wa Muziki Barani Afrika na Mkurugenzi wa #WasafiMedia , @diamondplatnumz.
.
.
Hotel hii ipo maeneo ya mikocheni Jijini Dar es salaam. Na kwa Mujibu wa @diamondplatnumz , kwasasa ipo chini ya maboresho zaidi kabla ya kuizindua rasmi.
.
.
Pia ameikaribisha serekali na @wizarayaafya_tz , Kuitumia Kama Hospital ya dharura katika kipindi hiki Cha Janga la Corona
#NiUshindiTu #HiiNiYetuSote #SanaaImezaliwaUpya #2020NiUshindiTu