المدة الزمنية 5:9

UKWELI Kuhusu SALLAM Kuondoka WCB Kujiunga na HARMONIZE..

بواسطة Global TV Online
27 482 مشاهدة
0
182
تم نشره في 2020/01/10

UKWELI Kuhusu SALLAM Kuondoka WCB Kujiunga na HARMONIZE.. kwa mara ya kwanza meneja wa mwanamuziki, Diamond Platnumz, Sallam SK, amefunguka kuhusiana na tetesi zilizosambaa kuwa eti ameachana na WCB na anatarajia kujiunga na Konde Gang ya Harmonize.. GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) HABARI MPYA DAILY: HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEW: /playlist?li Category Entertainment

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 49
  • @
    @mkalimussa1846منذ 4 سنوات Jamani msikatae kwa asilia mia kwani harmonize tulianza kusikia kam ivo mwisho wa siku kajitoa kwel 6
  • @
    @amisindondi4549منذ 4 سنوات Hata harmonize alianza hivyohivyo mwisho wapicha alitoka wcb lisemwalo lipo 1
  • @
    @sadikathumani1003منذ 4 سنوات Mm nilikuw nawaamini sana global lkn naona nanyinyi mnatuletea umbeya kama Chanel za udaku habari hauna uhakika kwann uirushe hewani? Kuweni makini vingnevo tutawahama.
  • @
    @geofreymsengi9971منذ 4 سنوات Hawa jamaa niliwaambia bado ni kundi Moja Ila wanatuchanganya 3
  • @
    @princemaster8779منذ 4 سنوات Lisemwalo lipo, na kama halipo? Naomba munisaidie kumaliza hii methali. 4
  • @
    @sailorprugent1436منذ 4 سنوات Sasa itafanywa kiki hiyo atoke kweli ama tayari ni kiki hiyo yakutoka
  • @
    @nassorokilima6653منذ 4 سنوات nyie wote waongo na marofa mnataka kiki 1
  • @
    @esmaelinhoharnandez4479منذ 4 سنوات Ni kweli hayo mambo ama munatafuta kiki.ikiwa atatoka wasafi itakua kafanya jambo la maanag wasafi ni kundi la watu waovu
  • @
    @eneolatukio8493منذ 4 سنوات Mmh, mbona kapiga kimya ivo wcb hata kwa treni kwenda kigoma hakuwepo, angekosa kweli huyu trip kama ile??
  • @
    @shaabanramadhan6770منذ 4 سنوات Watu weshaanza kumuwangia diamond wanachoomba nikumuona diamond kashuka ki music uzushi tu kazi yao 1
  • @
    @iammusic3404منذ 4 سنوات Sallam hajahama nahatokuja kuhama acheni uongo
    Juz tu alkua na Mond Egypt
    Mnaanza kutupotosha
    1
  • @
    @dronemiguel2230منذ 4 سنوات Mmmhh nyie ndio mmeanzisha kudadek zenu achen kutafuta views 3
  • @
    @michaelnzowa1106منذ 4 سنوات Leo Nina unsubscribe channel yenu mshaanza udaku 1