المدة الزمنية 4:9

UKHTY ASHA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA (OFFICIAL VIDEO)

بواسطة UKHTY ASHA CHANNEL
14 547 مشاهدة
0
71
تم نشره في 2021/11/03

Assalamu alaikum ndugu wapenzi wangu wa kaswida mashabiki zangu munaonitizama kwakupitia chanali ya ukhty asha ,natoa shukrani zangu za zati kwenu kwakuniunga mkono hadi kufikia hapa nilipo ni kwanguvu za mwenyezimungu pamoja na mimi nawashukuru sana sana kwa kila hatua niliopo sasa haijalishi napitia changamoto ila nijambo ambalo linalonifanya niendelee na kukaza bidii hivo leo nisiku ya ngu ya kuzaliwa naombeni duwa zenu kwa wingi mnoo na nyinyi mungu atawalipa zaidi, hivo sina zaidi ila nawapenda sana sana Ahsanteni ,

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 57