hii ni sehemu ya pili ya mahojiano yetu na Master jay ambapo ameongelea kiundani ishu ya BONGO STAR SEARCH na jinsi Brand ilivyochafuliwa ikiwemo swala la wao kuitwa matapeli na mambo mengi kama ushauri kuhusiana na BSS na industry ya Burudani kwa jumla