المدة الزمنية 5900

MUNGU ANAKUONA TU UNAVYOTUMIA KIPAWA

بواسطة Munishi TV
9 755 مشاهدة
0
409
تم نشره في 2021/03/11

VIPAWA VYOTE HUTOKA KWA MUNGU, NA HATA SHETANI ANA KIPAWA KUTOKA KWA MUNGU LAKINI ANAKITUMIA KUPELEKA WATU JEHANAMU. Waimbaji wote tumepewa vipawa na Mungu bila masharti ya jinsi ya kuvitumia. Ndiyo sababu waimbaji wa secular wanatajirika kwa kutumia vipawa vyao kuimba matusi na Mungu anawaona tu. Je una kipawa cha kuimba au kuigiza filamu? Unakitumia kuelimisha jamii au kupotosha jamii? Ila ujue Mungu anakuona tu. Mithali 17:8 [8]Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; Kila kigeukapo hufanikiwa.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 25