المدة الزمنية 18:59

PAUL MAKONDA AELEZA SABABU ZA KURUDI SHULE / KUPOTEZA MARAFIKI NA NIA YA KUREJEA KWENYE SIASA

بواسطة Dizzim Online
43 560 مشاهدة
0
226
تم نشره في 2021/04/23

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 137
  • @
    @EdwardSindayigayaمنذ 3 سنوات I am From Rwanda, and I follow yr Politics day to day coz I love you so much guys, but in particular I love Mr Paul Makonde 8
  • @
    @frankkassongo6639منذ 3 سنوات Best interview of 2021 ❤️❤️❤️❤️❤️ Pan-Africanist. Makonda nime tokea kukupenda sana. Endelea kumfuta pastor Chris Oyakelome, PhD. Kweli uko fresh kaka. 4
  • @
    @user-tq7yh5mo9mقبل 6 أشهر Mweshiniwa hongera sana mkuu ninakukubali
  • @
    @Hillaryedith7منذ 3 سنوات Well said Mr Makonda Former Regionsl commissioner-Dar essalasm . It is inspiring ! 1
  • @
    @nenadurra8477منذ 3 سنوات We support you Makonda, you are better than anybody, believe me! 2
  • @
    @eddymatrix8704منذ 3 سنوات Dah nimepaenda msemo uliosema kukosea sio dhambi..Asante paul 5
  • @
    @joycelambwe9016منذ 3 سنوات Huyu Paul makonda nampenda sana yuko vizuri sana kwenye uongozi ,Mungu umeona tunashukuru kwa baraka hizo na ziendelee. 3
  • @
    @Mwarobainiمنذ 3 سنوات Huyo ndo Mtu pekee ninaemkubali na Kumheshimu, Makonda yuko juu sana. 14
  • @
    @africa7479منذ 3 سنوات Nimepnda mtangazaji et mimi ni mtazamaji wako, akaibadilisha juu kwa juu safi sana 2
  • @
    @tatukapilimba4535منذ 3 سنوات Huyu jamaa ni very potential kwa taifa, na ni mbunifu sana kushinda hata viongozi wengine waliopewa nafasi kubwa za uongozi..i miss you alot big bother.. id="hidden2" class="buttons"> Kama kuna makosa ulishawahi fanya Tunakusamehe bure, Naamin Jamii ya watu wa chini kabisa Dar wanakukumbuka ....وسعت 11
  • @
    @kyaruzidativa9398منذ 3 سنوات Wewe nikiongozi mzuri Sana naendelea kukukubari Makonda 2
  • @
    @jamessilwamba4259منذ 3 سنوات ushauri wangu Ukitaka kuwa kiongozi mzuri kwanza heshimu watu wa aina zote wa chini na walio juu yako pia na usiwe mtu wa kibri ukiwa na madaraka halafu id="hidden3" class="buttons"> ndio u apply hayo mambo mengine ya utawala uliyojifunza hata ujifunze vipi kama mtu unakuwa na kibri huwezi kuwa kiongozi mzuri kw sababu kibri ni dalili ya incompetence take my word ....وسعت 3
  • @
    @florakweyunga4490قبل 7 أشهر 10/10/2023.yaani Mkoa huu wa Dar ni mgumu saaana.lakini uliweza kakangu.wanao kuchukia wakajitundike.
  • @
    @haroldtere7515منذ 3 سنوات Ongera Makonda. Kiongozi ni wito!. Siyo elimu ya chuo! 1
  • @
    @radhiasalum7156منذ 3 سنوات Nakukubali sana we mzalendo moka akusimamie 2
  • @
    @najma3268منذ 3 سنوات Interview nimeirudia zaidi ya marambili, kaongea vzr sana , kagongelea Na nyundo, nimefanya kumsikiliza kwa makini kwakweli 4
  • @
    @theophilmakumbuliقبل 7 أشهر Mngu akubari kaka kiongoz mwenye KIU ya haki hakika naamin IPO sku mngu atakukumbuka
  • @
    @deomugu1616منذ 3 سنوات Have my respect all the way. Barikiwa sana kaka 3
  • @
    @emilymideva8783منذ 3 سنوات Woow nice interview mr muheshimiwa makonda frm kenya 254 2
  • @
    @lusajomwaipopo5042منذ 3 سنوات Ujasusi wa uchumi ktk inchi hii ndiyo shida
  • @
    @samsonmaurice10منذ 3 سنوات Nimependa sana huu msemo wako mkuu, "Usiogope kuonekana wa ajabu kama una jambo unaloliamini" 8
  • @
    @eyumededu2948منذ 3 سنوات Nampenda huyu kaka ni viwango vya wazalendo
    Nakuombeq kheri baba
    5
  • @
    @johnntabagi8861منذ 3 سنوات makonda makondaaaa nakukubali mkuu huwanaamini ipocku utakaajuu zaidi ya pale ulipokuwa awali 1
  • @
    @rizikimgimba8443منذ 3 سنوات Makonda amesema mambo makubwa juu ya kufunguka ufahamu WA vijana WA African hasa WA Tanzania kushangaza mataifa Kwa kijiongeza kimawazo nakiubunifu natamani nipate Namba yake tuzungumzie Ayala hiili 2
  • @
    @halimamasai2234منذ 3 سنوات Hongera sana Makonda tu akusubiri 2035 Inshalaah 2
  • @
    @zaym7769العام الماضي Ndio maana nilikukubali sana na kukutetea sana japo nilitukanwa sana.
  • @
    @frankkaijage9726منذ 3 سنوات Makonda big up.kwa kweli Dar kumepoa kabisa .Tumetambua umuhimu wako
  • @
    @emmanuelsamba2571منذ 3 سنوات shida ya wabongo fikra zao zinakariri siasa ni unafki nasio taaluma
  • @
    @namukwayamweshihange8866منذ 3 سنوات Nikweli kabisa very intelligent. Well done 2
  • @
    @innocentwilliam1214منذ 3 سنوات Alisema wakufunzi wanafundisha angali hawawezi kuongoza hata panya!!!! Duuu 2
  • @
    @queenlinda255منذ 3 سنوات Umeivaa kaka akili imekuwa zaidi na zaidi 3
  • @
    @sylvestrengwelu2012منذ 3 سنوات Mh.Makonda Hongera kwa hatua hiyo ya KUONGEZA UJUZI KIELIMU.ELIMU HAINA MWISHO.HAKIKA UNA FOCUS NZURI.MUNGU AKUBARIKI SANA.
  • @
    @erastonicholas5589منذ 3 سنوات Wewe umeenda kulima kujificha mihela ulio piga . Eti kilimo kabla ya uongozi mbona kulikua hulimi?hunaga rafiki mbona riziwani ulitenda ukasema muuza unga wewe damu za watu Zina kusubiri mumeua Sana 1
  • @
    @hamisinyanga4579العام الماضي Paulo makonda ni puntin wa afrika lakini hawakumuelewa lakini sasa .putin wa urusi kaiga.kwa paulo makonda.
  • @
    @shukurually8769العام الماضي Mwambie arudi tn kugombea kigamboni tunamuitaji sn huyu aliopewa dhama hana jipya
  • @
    @daviddouglas8943قبل 7 أشهر Bashite kama Bashite , Hebu rusidha vyeti vya Makonda mwenyewe kwanza, Daud Bashite wa Kolomije.
  • @
    @djpassovertz..tunaishimaramojaالعام الماضي So umesomea jina Gani Daudi Bashite au jina la kununua?Paulo Makonda wa wahaya?
  • @
    @fatmakombo7584منذ 3 سنوات Wewe tayari ushakula maisha waachie wenzio shida utakayopata Una kiburi sana mzee
  • @
    @awesasaladi5948منذ 3 سنوات Mh paul makonda alikua kiongozi anayejiamini sana jitahidi kaka urudi kwenye uongozi sipati furaha ninapokuona huna cheo mkuu 2
  • @
    @BETConlineTVTZمنذ 3 سنوات huyu jamaa ana akili sana amini nawaambieni tutamuona mbali 3
  • @
    @AbdulnuruMbaraka-me9riالعام الماضي KIJANA NIMEKUELEWA NA NATAMAN ULUD KUNDINI.
  • @
    @naitwahazina6433منذ 3 سنوات Kaa ukijua watanzania tunakupenda sana
  • @
    @godfreymlay6069منذ 2 سنوات Utakoma kujuwa hiyo PHD yako omba sana mungu vinginevyo utaipatia jela itoshe mm kusema kila ufalme una mwisho wake
  • @
    @seifmohamed836منذ 3 سنوات Kwani mpk shv analindwa na police ama yuko peke yake au ndio full ulinzi 1
  • @
    @frankkassongo6639منذ 3 سنوات PhD baba join our world. Welcome to the world of PhD 2
  • @
    @yahyahamad1802منذ 3 سنوات Ulikosea sana kuwashutumu watu na kuwataja majina hadharani kua wanuza madawa ya kulevya au wanatumia na ukatoa amri waekwe ndani nakushauri uombe radhi 1
  • @
    @epimackoscar25العام الماضي Mbali na mapungufu uliyonayo kama binadamu lakini una vitu vingi ambavyo vijana wenzio tunajifunza kutoka kwako
  • @
    @benny4345العام الماضي Tell him it is "Globally" not "Grobale". Negotiations ni "profession" na siyo Professionals. And he is enrolled at one of the top 5 Universities
  • @
    @magdalena7223منذ 3 سنوات Kila sk kilio changu hy mtu awepo ktk uongozi tena maana hk kichwa simchezo tumemis uwepo wako baba 2
  • @
    @joviangeofrey866منذ 3 سنوات Kilimo ndiyo kila kitu ila mje niwauzie miche ya vanilla
  • @
    @milomohamed7201منذ 3 سنوات Huyu ni kiongozi mjinga na ataendelea kuwa mjinga iwapo hatajirekebisha.
    Ndani ya Dar hamna kitu alivhokifanya zaidi ya kupandikiza chuki miongoni mwa jamii. Foolish kabisa DAUD ALBERT BASHITE
  • @
    @benny4345العام الماضي Stop glorifying criminals! That guy is a criminal!
  • @
    @shedrackamos4021منذ 3 سنوات Moja ya Viongozi ninao wakubali Sana endelea kusoma Kiongozi naamini PHD unaipata Kama yalivyomalengo yako 2
  • @
    @jayjay4313منذ 3 سنوات Kumbe ni kozi. Diploma miaka 3, mazee. Diploma za kozi kama tukianza kila mtu atoe zake, kuna watu wanazo mia humu, ukisoma we kausha tu na vyetu vyako kavitumie ukiomba kazi. Bongo kwa kicki shikamoo.
  • @
    @wazirmasokola5951منذ 3 سنوات Unao usubutu wakufanya maamuzi uogopi ukilipanga jambo zuri lenye tija..ninaimani na ww 1
  • @
    @waheedahtanzania4912منذ 3 سنوات Natarajia 2025 Inshaallah uje kuwa Rais WETU wa Tanzania maana una kila sifa mashallah 1
  • @
    @seifmohamed836منذ 3 سنوات Kwani wewe makonda umemaliza kazi yako ama uliachiswa kazi yako kwa tamaa zaubunge na wana ccm wakakupiga chini Kigamboni hatr
  • @
    @sponsor7882منذ 3 سنوات Darasa la saba tu ilikushinda sembuse phd. 1
  • @
    @afropatriot7769منذ 3 سنوات Natumain pia umejifunza jinsi ya kuanzisha Mambo ambayo unaweza kuyamaliza kwa akili bila kukurupuka,vile kuheshimu watu na kutokua na Ego 2
  • @
    @fredrickjohn8412منذ 3 سنوات Zero braini inaongea pumba, bado anandoto ya kuwa kiongozi , mshenzii kweli
  • @
    @alisele5299منذ 3 سنوات Makonda kiongozi; mambo madogo tu & Nidhamu ndio vilivyo mkwamisha, Viva makonda 1