المدة الزمنية 2:17

WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA AFARIKI

بواسطة LIVING WATER PLUS
347 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/08/03

Rais Samia ametuma salamu za pole kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo kufuatia kifo cha Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias Kwandikwa kilichotokea August 02,2021 Jijini Dar es salaam. Rais Samia amesema amepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Kwandikwa ambaye ni Mbunge wa Ushetu Mkoani Shinyanga kutokana na mchango wake mkubwa katika Utumishi wa Umma.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0