المدة الزمنية 3100

INJILI MTAANI: Leo ni kanyaga twende mpaka Sanawari, Arusha.

بواسطة Jodama tv
3 448 مشاهدة
0
20
تم نشره في 2019/12/27

Tunatimiza agizo kuu la YESU Kristo. Ni nyakati za mwisho ambapo watu wanapenda fedha kuliko MUNGU na maisha yao zaidi ya roho zao. Naamini wewe si mmoja wapo!!! Sema neno moja kwa mtumishi wa Mungu la kumtia moyo.... Na ubarikiwe sana na Bwana YESU.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 7