المدة الزمنية 4:31

ZIWA VICTORIA KUJAA MAJI LASABABISHA SHULE YA WANAFUNZI 327 KUHAMISHWA HALI NI HATARISHI

بواسطة Millard Ayo
7 294 مشاهدة
0
30
تم نشره في 2021/05/10

Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa kagera na kusababisha baadhi ya maeneo kujaa maji ikiwemo shule ya msingi Nyamkazi iliyopo Manispaa ya Bukoba,Serikali imelazimika kuchukua hatua ya kuwahamisha wanafunzi wa shule hiyo ambao ni 327 na walimu wao tisa Mkuu wa Wilaya Bukoba Deodatus Kinawilo ameeleza kwa kina hatua zilizochukuliwa

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4