المدة الزمنية 1:59

Magufuli: Maoni ya watanzania baada ya kutangazwa kifo cha Rais wao

بواسطة BBC News Swahili
216 287 مشاهدة
0
863
تم نشره في 2021/03/18

Ni usiku uliojawa simanzi na majonzi kwa watanzania walio wengi. Hii ni baada ya kutangazwa rasmi kifo cha Rais wa Jamuhuri ya muungano wa tanzania aliye wavutia wengi kwa misimamo yake ya kukemea uzembe wizi na uvunjifu wa sheria.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 225