المدة الزمنية 10:25

Mjusi mkubwa zaidi duniani aliyegunduliwa Tanzania

بواسطة Millard Ayo
91 574 مشاهدة
0
723
تم نشره في 2017/11/04

Moja ya stori kubwa iliyowahi kuhojiwa hadi Bungeni Tanzania ni kuhusu mabaki ya mjusi mkubwa zaidi duniani aliyegunduliwa Tanzania milima ya Tendaguuru Lindi mwaka 1909. Ni Mjusi aliyeishi kwa miaka milioni 150 huku akiwa na urefu wa zaidi ya mita 13 ambapo mabaki yake yalipelekwa Ujerumani. AyoTV imefunga safari hadi katika makumbusho makuu ya Taifa ya sayansi Hamburg Ujerumani ili kukuletea ripoti kamili kuhusu mjusi huyo kama inavyoonekana kwenye hii video.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 272