المدة الزمنية 3:28

Kauli ya Msemaji Mkuu wa Uhamiaji Tanzania Kuhusu Mwisho wa Matumizi ya Pasipoti ya Zamani

بواسطة Amanitz News
607 مشاهدة
0
3
تم نشره في 2020/01/01

#OnTrending! #UhamiajiTanzania Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Mrakibu Mwandamizi Alhaj Ally Mtanda mapema wiki hii akiwa katika Ofisi za Uhamiaji Dar es Salaam ametolea Ufafanuzi kuhusu suala la Mwisho wa Matumizi ya Pasipoti ya Zamani na Kuwahimiza Wananchi kwenda kubadilisha Pasipoti zao kabla ya Muda huo kuisha kwani hakutakuwa na muda wa nyongeza wa matumizi ya pasipoti hizo na hivyo haziwezi kutumika tena kwa safari yoyote.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2